Loading...

Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam

Loading...
Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam
link : Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam

soma pia


Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam

 Vurugu imetokea leo  wakati kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa chama kimoja cha siasa (jina kapuni hadi itapothibitishwa) kupambana na  wenzao wanaosadikiwa kuwa wapinzani wao baada ya kundi moja kuvamia mkutano wa upande mmoja  na waandishi wa habari katika Hotel ya Vinna Hotel maeneo ya  Mabibo jijini Dar es salaam, na kuzua taharuki kubwa kwa waandishi wa habari na wakaazi wa eneo hilo.  
Mashuhuda wamesema watu kadhaa wasiojulikana walifika hapo wakiwa wamefunika nyuso zao kwa vitambaa huku wakiwa na silaha za jadi na kuanza vurugu.
Baada ya mkutano kuvurugika baadhi ya  waliokuja kufanya vurugu walikimbia huku wakikimbizwa na wanachi wenye hasira kali ambao walifanikiwa kumkamata mmoja wao na kumjeruhi  kwa kumkata maungio ya kisigino ya mguu wake wa kulia.
Juhudi za kuwapata wasemaji wa pande mbili hizo zinaendelea.
Taharuki  katika Hotel ya Vinna maeneo ya  Mabibo jijini Dar es salaam
 Mmoja wa watuhumiwa  wa uvamizi huo akiwa anapambana
 Mmoja wa watuhumiwa  wa uvamizi huo akiwa anapambana
 Mmoja wa watuhumiwa wa uvamizi akiwa chini ya ulinzi mara baada ya kudhibitiwa na na wananchi kisha kumkata mguu na kushindwa kutembea
Mtuhumiwa akiwa amekatwa mguu wa kulia akiugulia maumivu  baada ya kujeruhiwa



Hivyo makala Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam

yaani makala yote Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/vurugu-zaibuka-katika-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vurugu zaibuka katika mkutano wa wanahabari mabibo jijini Dar es salaam"

Post a Comment

Loading...