Loading...

WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

Loading...
WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI
link : WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

soma pia


WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imezindua jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi kwa wanawake wa Wilaya ya Handeni  kwenye ukumbi wa maount Ilulu uliopo Kabuku mjini lenye ujumbe wa “Wezesha wanawake kiuchumi ili kujenga uchumi wa kati na Tanzania ya Viwanda”.

Jukwaa hili linalengo la kuwakutanisha wanawake pamoja na kujadili fursa, changamoto na jinsi ya kushiriki kikamilifu katika biashara na shughuli nyingine za kiuchumi katika Wilaya ya Handeni.

 Akizungumza kwenye uzinduzi wa Jukwaa hilo Katibu Tawala wa Wilaya ya Handeni  Bw. John Mahali aliyekuwa mgeni rasmi akimwakilisha mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe alisema kuwa jukwaa la wanawake hilo  litasaidia  kuongeza uelewa kwa wanawake katika upatikanaji  wa mitaji , sheria za nchi katika masuala ya kiuchumi na jinsi ya kujitegemea.

Aliongeza kuwa wanawake wamekuwa hawapati fursa za kutosha za kiuchumi hapa Nchini hata na duniani kote kutokana na kutokuwa na usawa katika fursa , uwezo wa kupata mitaji.

“jukwaaa litasaidia kuondoa matabaka na sheri ambazo zitasaidia kupunguza ubaguzi wa kiuchumi kwa wanawake, ambalo ni jambo la muhimu sana katika kuleta maendeleo ya usawa katika pato la Taifa, jamii na familia” alisema Bw. John. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw William Makufwe wakwanza kulia akifuatiwa na Katibu tawala Wilaya Bw John Mahali wakitazama Moja ya bidhaa ya vikapu vinavyotengenezwa na kikundi cha wanawake tupendane cha segera
 Katibu tawala Wilaya Bw John Mahali akizungumza na wanawake waiojitokeza kwenye Uzinduzi wa jukwaa Hilo.
 Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha wanawake kiuchumi Wilaya Bi Fatuma Zuberi akipokea katiba kutoka Kwa mgeni rasmi Katibu tawala Wilaya Bw John Mahali.
 Baadhi ya wanawake wakishiriki wa Uzinduzi wa jukwaa la kuwezesha wanawake kiuchumi Wilaya  ya Handeni.



Hivyo makala WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

yaani makala yote WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/wilaya-ya-handeni-yazindua-jukwaa-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WILAYA YA HANDENI YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI"

Post a Comment

Loading...