Loading...
title : ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE
link : ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE
ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE
Mwanadada maarufu na tajiri, Mganda aishie Afrika ya Kusini, Zarina Hussein ama Zari the bosslady ametumia ukurasa wake wa Instagram leo hii kutuma picha mbalimbali akiwa na mume wake, msanii maarufu, Mtanzania Diamond Platinumz wakiwa na watoto wao wawili, Princess tiffah na Prince Nillan.
Zari ameandika kuwa, kwa tafsiri isiyo rasmi " pale unapodhani wanawake matajiri hawawasikilizi wanaume wao, kumbe ndio hasa wanawapa umakini mkubwa sana...usidanganyike uboss huishiaga tu ofisini...kwa wanaume zao hutuliaga tulii kama maji ya mtungini"
Angalia hapa chini post yenyewe aliyoiweka instagram.
Picha mbalimbali alizoweka Zari leo akiwa na mume wake Diamond na familia yao
Hivyo makala ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE
yaani makala yote ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/alichokisema-zari-wa-diamond-kuhusu.html
0 Response to "ALICHOKISEMA ZARI WA DIAMOND KUHUSU UTAJIRI WAKE NA NDOA YAKE"
Post a Comment