Loading...
title : Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii
link : Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii
Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii
Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry Dkt. Charles Gadi (mwenye miwani)akifanya maombi maalum pamoja na Wachungaji wa kanisa hilo ya kuomba mvua zinazoendelea nchini zisiwe na madhara kwa jamii.
· Askofu Gadi 01: Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry Dkt. Charles Gadi akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa wa wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wa Shule ya Lucky Vincent ya Jijini Arusha pamoja na kumpongeza Rais john Magufuli kwa kuzindua miradi mikubwa ya kimaendeleo hivi karibuni, kushoto ni Mchungaji wa kanisa hilo Mchungaji Andrew Thomas na kulia ni Mchungaji Palemo Massawe. Picha na Eliphace Marwa -Maelezo
Hivyo makala Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii
yaani makala yote Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/askofu-gadi-atuma-salamu-za-rambirambi.html
0 Response to "Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba mvua zinazoendelea zisiwe na madhara kwa jamii"
Post a Comment