Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogolink :
Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo
Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) pamoja na Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (wa pili kulia) wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa NMB FANIKIWA ACCOUNT leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Meneja Mwandamizi Kitengo cha Biashara, Donatus Richard akishuhudia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa NMB FANIKIWA ACCOUNT uliofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron kushoto ni Meneja Mwandamizi Kitengo cha Biashara, Donatus Richard akiwa katika mkutano huo.
Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron akifafanua jambo katika uzinduzi wa 'NMB FANIKIWA ACCOUNT'. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker na Meneja Mwandamizi Kitengo cha Biashara, Donatus Richard (kushoto)
BENKI ya NMB imezindua akaunti mpya kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati ijulikanayo kama 'NMB FANIKIWA ACCOUNT' ili waweze kukua kibiashara pamoja na kupata maendeleo ya biashara wanazozifanya. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa akaunti hiyo ya wafanyabiashara wadogo na wakati, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ineke Bussemaker, alisema kuwa akaunti hiyo haina masharti magumu wakati wa kuifungua pamoja na uendeshaji wake hivyo kuwataka wafanyabiashara wote kuitumia.
Hivyo makala Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo
yaani makala yote Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/benki-ya-nmb-yazinduwa-fanikiwa-account.html
0 Response to "Benki ya NMB yazinduwa 'Fanikiwa Account' kwa wafanyabiashara wadogo"
Post a Comment