Loading...

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752

Loading...
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752
link : BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752

soma pia


BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752

 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, baada ya wabunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, baada ya Wabunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo ya jumla ya shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
 Gavana wa Benki Kuu (BOT), Prof. Beno Ndullu (kushoto), akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), baada ya Bunge kupitisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo ya shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 Mjini Dodoma
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akipeana mkono na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Bw. Mohamed Mtonga, nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo ya shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoro) akimshukuru na kumpongeza Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) kwa kazi kubwa aliyoifanya katika kusimamia na kuhakikisha kuwa Bajeti ya Wizara hiyo inaandaliwa kwa viwango vya juu na hatimaye kupitishwa na Bunge Mjini Dodoma ambapo Wizara hiyo imeidhinishiwa kukusanya nakutumia shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.




Hivyo makala BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752

yaani makala yote BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/bunge-lapitisha-bajeti-ya-wizara-ya_31.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO SHILINGI TRILIONI 11.752"

Post a Comment

Loading...