Loading...

DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA

Loading...
DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA
link : DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA

soma pia


DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA

Dkt. Kigwangalla akabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla mapema jana Mei 28.2017 amekabidhi gari maalum la kubebea wagonjwa (Ambulance) na vifaa vya Hospitali ikiwmo vitanda na Magodoro katika Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoani Pwani. Dkt. Kigwangalla ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tukio hilo, mbali na kukabidhi gari hilo la wagonjwa na vifaa hivyo vya Hospitali kwa uongozi wa Hospitali na Wilaya akiwemo Mkuu wa Wilaya na Mbunge wa Jimbo hilo, aliweza kufanya ukaguzi wa ghafla kujionea mazingira ya Hospitali hiyo na kubaini mapungufu mbalimbali ambayoo ametoa maagizo kupatiwa ufumbuzi kabla ya kuchukuliwa hatua kwa uongozi wa Hospitali hiyo. Miongoni mwa changamoto hizo alizobaini katika Hospitali hiyo ni pamoja na kuwa na mfumo mbovu wa uhifadhi wa taka, pamoja na uchafu katika wodi ya wazazi jambo ambalo linaweza kusababisha hatari ya maambukizi kwa Wagonjwa na wahudumu wenyewe wa Afya. Awali wakati wa kukabidhi gari hilo ambalo limenunuliwa kwa nguvu ya Madiwani kwa kushirikiana na wadau mbalimbali pamoja na Mbunge wa jimbo hilo la Mkuranga, Abdallah Ulega aliwataka kulitumia kwa uangalifu wa hali juu huku likitakiwa kufanya shughuli zilizokusudiwa katika kusaidia wananchi wake. “Nimesikia kileo chenu ambacho ni kupatiwa mashine ya X-Ray na na vifaa vingine muhimu. Wizara yetu inalishughulikia hilo na tunawaomba muwe na imani na Mbunge wenu ambaye amekuwa akinisisitiza juu ya jambo hilo. Hospitali ya Mkuranga ni moja wapo ambayo itafaidika na msaada wa vifaa ikiwemo mashine hiyo ya X-Ray” alisema Dkt. Kigwangalla wakati akizungumza na wananchi mbalimbali ambao pia walipata fursa ya kuuliza maswali katika tukio hilo. Tazama hapa kuona tukio hilo:
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga wakati alipofika hapo kuelekea katika tuko la sherehe ya kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla amsikiliza Mbunge wa Mkuranga Mh. Abdallah Ulega katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga wakati alipofika hapo kuelekea katika tuko la sherehe ya kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoka katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga wakati alipofika hapo kuelekea katika tuko la sherehe ya kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Baadhi ya wazee wa Mkuranga

Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkuranga akisoma taarifa

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza katika tuko la sherehe ya kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza katika tuko la sherehe ya kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Baadhi ya wananchi walipata fursa ya kuuliza mswali na kutoa kero zao

Baadhi ya wananchi walipata fursa ya kuuliza mswali na kutoa kero zao

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikabidhi vifaa vya hospitali katika tuko la sherehe hizo za kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikata utepe wakati wa kukaabidhi gari la wagonjwa hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akiwa ndani ya gari la wagonjwa hospitali ya Wilaya ya Mkuranga mara baada ya kulikabidhi

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua masuala ndani ya wodi ya wanawakehospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua masuala ndani ya wodi ya wanawake hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maelezo kwa viongizi wa Wilaya baada ya kukuta hali ya uchafu katika maeneo hayo ya wodi ya wanawake hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akito maelezo namna ya chumba cha upasuaji kinatakiwa kirekebishwe kufuata taratibu zake hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maelezo namna ya mlango wa kuingilia chumba cha upasuaji kutokukidhi viwango hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akiwa katika viunga vya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga

Gari hilo la wagonjwa lililokabidhiwa

Baadhi ya vifaa hivyo vilivuokabidhiwa

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akipatiwa maelezo na Mkurugezi wa Wilaya ya Mkuranga

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akifanya hitimisho wakati akizungumza na waandishi wa Habarimara baada ya kumalizika kwa shughuli ya kukabidhi gari la wagonjwa na vifaa vya hospitali hiyo ya Wilaya ya Mkuranga, mapema jana Mei 28.2017.


Hivyo makala DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA

yaani makala yote DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/dktkigwangalla-akabidhi-gari-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT.KIGWANGALLA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MKURANGA"

Post a Comment

Loading...