Loading...

EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE

Loading...
EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE
link : EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE

soma pia


EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE

Efm redio imezindua rasmi msimu wa tatu wa mchezo wa sakasaka. Mchezo huu huchezeshwa kila mwaka na mwaka huu utachezeshwa katika wilaya ya Temeke, Kigamboni, Ubungo, Ilala na Bagamoyo. Siku ya leo tarehe 28/05/2017 umezinduliwa rasmi katika kiwanja cha Sinza Tippi wilaya ya Ubungo.

Mchezo huu wa sakasaka huchezeshwa kwa kuficha vitu vyenye thamani ya pesa katika uwanja husika ambapo inampasa msikilizaji afatilie dondoo za kitu hicho pamoja na mahali ili ajue sehemu na aina ya kitu kilichofichwa na atakae kipata atakua mshindi wa pesa taslimu.

Mwaka huu washindi nane katika kila wilaya watajishindia pesa taslimu, ambapo mshindi wa kwanza ataondoka na kitita cha shillingi milioni moja akifuatiwa na washindi wa shilingi laki moja na elfu hamsini.
Sehemu ya washiriki wakitafuta vitu vilivyofichwa katika uwanja huo.
Washiriki wa mchezo wa Sakasaka wakisubiri kuhakikiwa vitu walivyoviokota kama ni sahihi.
Meneja matukio Efm redio Neema Mukurasi (wakwanza kulia) akiwa ameshikilia vitu vitatu vilivyo okotwa na mshiriki Mr. Denis Charles (wakwanza kushoto ) vyenye thamani ya shilingi Laki mbili wakiwa na Mtangazaji Denis Rupia (Chogo)
Meneja matukio, uhusiano na mawasiliano Neema Mukurasi akimkabidhi mmoja wa washiriki wa mchezo huo shilingi elfu 50 baada ya kuokota kitu chenye thamani hiyo.


Hivyo makala EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE

yaani makala yote EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/efm-redio-kugawa-pesa-kwa-wasikilizaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EFM REDIO KUGAWA PESA KWA WASIKILIZAJI WAKE"

Post a Comment

Loading...