Loading...
title : HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA
link : HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA
HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA
MwambawahabariKIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, akiwa tayari amewasili kwenye makao makuu wa klabu ya Randers alikokwenda kufanya majaribio.
Kama anavyoonekana hapo kwenye picha, akiwa katika uwanja unaotumiwa na timu hiyo unaoitwa ‘BioNutria Park Randers’.
Kwa mujibu wa tovuti ya timu hiyo, inaeleza kuwa Himid atafanya mazoezi na kikosi kingine cha vipaji cha Randers leo na kesho Jumatano kabla ya Ijumaa kujumuika na timu kubwa ya Randers.
Taarifa hiyo ya Randers inasema kuwa, Himid mbali na kufanya mazoezi atakuwa ni sehemu ya kikosi cha wachezaji wa akiba wa Randers kitakachocheza na AC Horsens Jumanne ijayo.
Hivyo makala HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA
yaani makala yote HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/himid-mao-atua-ligi-kuu-denmark-tayari.html
0 Response to "HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA"
Post a Comment