Loading...

Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini

Loading...
Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini
link : Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini

soma pia


Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini

Mwambawahabari
unnamed
Miss Tanzania namba mbili 2006 na Kaimu Katibu Hamasa wa Chipukizi wa  Umoja wa Vijana  wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wanafunzi wa Kidato cha Sita wa shule ya Sekondari ya Jangwani mara baada ya kumaliza mtihani wao.
A 1
Miss Tanzania namba mbili 2006 na Kaimu Katibu Hamasa wa Chipukizi wa  Umoja wa Vijana  wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo akikabidhi cheti  kwa wanafunzi wa Kidato cha Sita wa shule ya Sekondari ya Jangwani mara baada ya kumaliza mtihani wao.
A 2
Kaimu Mkuu wa shule ya Jangwani, Amos Mgongolwa akizungumza katika mahafali hayo
A 3
Jokate Mwegelo akizungumza katika mahafali hayo
A 4
Dada Mkuu wa shule ya Jangwani akimrisha keki Jokate katika mahafali hayo

………………………………
Na Mwandishi wetu
Mwanamitindo, muigizaji  na Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ametoa wito kwa watu maarufu nchini kusaidia kuondoa changamotokatika sekta mbalimbali ili kupunguza mzigo  serikali.
Jokate alisema hayo wakati wa mahafali ya wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari ya Jangwani ambapo jumla ya wanafunzi 118 walimaliza shule.
Mrembo huyo ambaye ni Kaimu Katibu Hamasa wa Chipukizi wa  Umoja wa Vijana  wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) amesema kuwa Tanzania ina watu wengi maarufu na wenye uwezo, lakini wachache tu ndiyo wamekuwa wakijitolea kusaidia sekta mbalimbali husasani elimu na afya.
Alisema kuwa kwa hali ilivyosasa,ni vigumu kwa serikali kutatua matatizo yote na kuwaomba  wanamuziki, wasanii, wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wa vyama na serikali kujitolea kusaidia kutatua matatizo katika jamii.
Alifafanua kuwa shule ya wasichana ya Jangwani ni kongwe  kutokana na kuanzishwa Mei 28, 1928, lakini mpaka sasa inakabiliwa na matatizo mbalimbali wakati kuna wahitimu wengi ambao kwa sasa wana nyandhifa na wanashindwa kuchangia.
“Mimi sijasoma Jangwani, lakini niliguswa na matatizo ya viwanja vya michezo na kuamua kujenga uwanja wa mpira wa kikapu na mpira wa pete (netiboli), nashukuru viwanja kwa sasa vinatumiwa na shule zinazozunguka maeneo haya,naomba wengine wasaidie, kuondoa changamoto zilizopo,” alisema Jokate.
Mrembo huyo pia amewaomba viongozi wa serikali na wafanyabiashara  waliosoma katika shule ya Sekondari ya wasichana ya Jangwani, kusaidia kuondoa changamoto za shule hiyo.
Awali, Makamu Mkuu wa Shule hiyo, Amos Mgongolwa alisema mbali ya uchakavu wa majengo, shule yao haina madarasa na mabweni ya kutosha, haina  ukumbi wa kufanyia shughuli mbalimbali kama sherehe na kulazimika kufanyia eneo la wazi, shule haina hata gari moja kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwa pamoja na matibabu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
Mgongolwa amesema wanafunzi wenye mahitaji maalum, ulazimika kutumia baiskeli za miguu mitatu ili kwenda  kwenye shughuli mbalimbali za kimamoso nje ya shule.


Hivyo makala Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini

yaani makala yote Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/jokate-awaomba-watu-maarufu-kusaidia_15.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jokate Awaomba Watu Maarufu Kusaidia Kuondoa Changamoto Katika Sekta Mbalimbali Nchini"

Post a Comment

Loading...