Loading...

JPM amaliza ziara Kilimanjaro

Loading...
JPM amaliza ziara Kilimanjaro - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JPM amaliza ziara Kilimanjaro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JPM amaliza ziara Kilimanjaro
link : JPM amaliza ziara Kilimanjaro

soma pia


JPM amaliza ziara Kilimanjaro

Suleiman Msuya

Rais John Magufuli
RAIS John Magufuli, amemaliza ziara ya siku tatu mkoani Kilimanjaro, ambapo pamoja na mambo mengine, alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi.

Katika maadhimisho hayo, Rais alitangaza kuboresha mishahara ya wafanyakazi kulingana na madaraja, huku akiahidi kupandisha mishahara mwakani.

Ziara ya Rais Magufuli ilianza Jumamosi iliyopita akipokewa na wananchi wa mkoa huo waliomsindikiza kuanzia Boma Ng’ombe hadi Moshi Mjini.

Akizungumza katika ziara hiyo, Rais Magufuli alisema hajawahi kuona mapokezi makubwa ya kiwango hicho ambapo pia aliwaambia amewasamehe na wao wamsamehe.

Pia Rais Magufuli alikutana na viongozi wa dini mkoani humo na kuzungumza nao masuala ya maendeleo na kuwataka wamwombee asiwe na kiburi.

Katika ziara hiyo, viongozi wa dini walimpongeza kwa kuongoza nchi kwa amani huku wakimtaka kusimamia haki za binadamu.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Rais Magufuli aliagwa na viongozi wa mkoa huo wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick.


Hivyo makala JPM amaliza ziara Kilimanjaro

yaani makala yote JPM amaliza ziara Kilimanjaro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JPM amaliza ziara Kilimanjaro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/jpm-amaliza-ziara-kilimanjaro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JPM amaliza ziara Kilimanjaro"

Post a Comment

Loading...