‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPLlink :
‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
Mwambawahabari
Simba wanatakiwa kushinda zaidi ya mabao nane katika mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu huku wakiomba Yanga ipoteza kwa zaidi ya mabao matano dhidi ya Mbao FC mjini Mwanza ili wao wawe mabingwa.
Lakini hiyo haiwakatishi Simba tamaa na hawataki kusikia Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa kabla ya mechi yao ya mwisho wao wakiwavaa Mwadui FC jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ amesisitiza bado wanataka kuona matokeo hadi mechi ya mwisho.
“Sisi tunajua bingwa bado hajapatikana na tutaona hadi katika mechi ya mwisho. Tutapambana hadi tone la mwisho.
“Hatuwezi kukata tamaa, huu ni mpira na vijana wako vizuri kabisa,” alisema akionyesha kujiamini.
Endapo mechi ya mwisho Yanga atakubali kufungwa atakuwa na pointi 68 sawa na Simba ambao viongozi bado wanaamini kuwa pointi tatu walizopokonywa dhidi ya Kagera Sugar zitarudishwa kwani wanataka kwenda FIFA kudai pointi zao na watakuwa na pointi 71.
Hivyo makala ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL
yaani makala yote ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kaburu-yanga-wanashangilia-ubingwa.html
Related Posts :
Kikosi cha ya Taifa ya Zanzibar Heroes Kinachotarajiwa Kuingia Uwanjani Katika Mchezo wa Nusu Fainal na Timu ya Taifa ya Uganda Jioni leo Nchini Kenya.Dua Zenu.
… Read More...
Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha ushiriki T… Read More...
Balozi wa Kuwait akabidhi msaada wa Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akipokea zawadi na Vifaa kwa ajili ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar kutok… Read More...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Aagiza Benki Zisizokidhi Vigezo Zifutiwe Leseni YakeBenny Mwaipaja, WFM, Dodoma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania BOT kuzifutia leseni benki zote za biashara pamoja … Read More...
SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.
Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe,Mohammed Abdalla Salum katikati akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa … Read More...
0 Response to "‘KABURU’ YANGA WANASHANGILIA UBINGWA HEWA,SIMBA INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA VPL"
Post a Comment