Loading...

KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA

Loading...
KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA
link : KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA

soma pia


KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA

 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Hanang/Katesh pindi alipowasili katika Mahakama hiyo kwa lengo la kujionea hali ya utoaji haki nchini.
 Kaimu, Jaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akiongea na Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Hanang, kushoto ni Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Mhe. Sekela Moshi.
 Watumishi wa Mahakama ya Wilaya ya Hanang wakimsikiliza Kaimu Jaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma alipokuwa akizungumza nao alipofika Mahakamani hapo kwa lengo la kujionea hali ya utendaji kazi wa Mahakama hiyo.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Joel Bendera pindi alipomtembelea ofisini kwake mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Joel Bendera (kushoto) akimueleza jambo Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania pindi alipomtembelea ofisini kwake mkoani Manyara, katika maongezi yake Mkuu wa Mkoa huo, ameisifu Mahakama mkoani humo kwa kusaidia kupunguza mgogoro kati ya Wakulima na Wafugaji Wilayani Kiteto mkoani humo kufuatia maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusiana na mgogoro huo.

Kwa upande wake Kaimu Jaji Mkuu amepongeza ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Mkoa na Mahakama na kusisitiza muendelezo wa ushirikiano huo kwa manufaa ya wananchi. (Picha na Mary Gwera)


Hivyo makala KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA

yaani makala yote KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kaimu-jaji-mkuu-amaliza-ziara-yake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA"

Post a Comment

Loading...