Loading...

KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA

Loading...
KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA
link : KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA

soma pia


KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA

Mwambawahabari



 Kaimu Jaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Juma (wa tatu kushoto), Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Mhe. Sekela Moshi (wa tatu kulia), Katibu wa Mhe. Kaimu Jaji Mkuu, Mhe. Eliazar Luvanda (wa pili kulia) na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Mkoa Manyara, Mhe. Devotha Kamuzora (wa kwanza kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mahakimu wa Mahakama wa mkoani Manyara.


 Mhe. Kaimu Jaji Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Mahakama walioshiriki katika kikao cha Watumishi na Mhe. Kaimu Jaji Mkuu.

Mhe. Kaimu Jaji Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Mahakama walioshiriki katika kikao cha Watumishi na Mhe. Kaimu Jaji Mkuu.


Mhe. Kaimu Jaji Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mahakimu aliowahi kuwafundisha chuoni, wa kwanza kulia ni Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha.

Mhe. Kaimu Jaji Mkuu akikagua jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi/Wilaya Manyara lililopo katika ujenzi, kukamilika kwa ujenzi wa Mahakama hiyo kutasaidia kuondokana na changamoto ya uchakavu wa jengo wanayokabiliana nayo katika Mahakama ya sasa. 

(Picha zote na Mary Gwera wa Mahakama)


Hivyo makala KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA

yaani makala yote KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kaimu-jaji-mkuu-wa-tanzania-afanya_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA"

Post a Comment

Loading...