Loading...
title : Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3
link : Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3
Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3
Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kocha msaidizi wa timu ya soka Kanda ya Unguja Abdul wahab Dau “Mwalimu Dau” ametangaza kikosi kipya wachezaji 22 cha timu hiyo ambacho kinatarajiwa kwenda Butimba Jijini Mwanza katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Sanaa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA)yanayotarajiwa kuanza June 6, 2017.
Wachezaji hao 22 watachujwa 4 na kubakia 18 ambao watakaokwenda katika Mashindano, mchujo wa mwisho unatarajiwa kufanywa siku chache kabla ya safari.
Kikosi hicho cha wachezaji 22 wa kanda ya Unguja Walinda mlango ni:-
Aley Ali Suleiman (Ubago) na Abass Wadi (Philter)
Wachezaji wengine ni Ahmed Mohd Shaaban (Nyuki), Amani Ali Suleiman (Kiembe Samaki), Ali Mohd Seif (Tumekuja), Ali Issa (Lumumba), Jamali Ali Jaku (Kinuni), Elias Suleiman (K-pura) na Abdurahman Seif Bausi (Glorious).
Wengine ni Ibrahim Faraj (Lumumba), Faki Kombo (JKU Mtoni), Haji Suleiman (JKU Mtoni), Mundhir Abdallah (JKU Mtoni), Ali Hassan (Bububu), Abdul aziz Ameir Khatib (Arahman), Walid Abdi (Mwera), Mansour Mohd (Mtoni), Abubakar Khamis (Bububu), Abdulatif Mzee (Philter), Habibu Ali (Nyerere), Ibrahim Abdallah Hamad (Arahman) na Yakoub Kiparo (Langoni).
Mashindano ya UMISSETA yanayotarajiwa kuanza June 6, 2017 huko Chuo cha Ualimu Butimba Mkoani Mwanza ambapo kwa mwaka huu Zanzibar itashiriki kanda mbili tofauti, yani Kanda ya Unguja na Kanda ya Pemba.
Hivyo makala Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3
yaani makala yote Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kikosi-cha-umisseta-kanda-ya-unguja.html
0 Response to "Kikosi cha Umisseta kanda ya Unguja hadharani, kuenda Mwanza June3"
Post a Comment