Loading...
title : Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture)
link : Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture)
Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture)
Timu ya Maandalizi ya Makubaliano ya ushirikiano katika kuisaidia sekta ya malimbichi na matunda nchini wakiwa katika majadiliano.
Na Mwandishi Wetu, Arusha.
Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) na Asasi Kilele ya wakulima wa Malimbichi na Matunda Tanzania (TAHA) zinajipanga kusaidia sekta Malimbichi na Matunda (horticulture) ili kuongeza tija kwa kilimo hicho.
Watendaji wakuu wa taasisi hizo wamesema kuwa kuna haja ya makusudi ya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Malimbichi na Matunda (horticulture) ili kuchagiza na kusaidia mapinduzi katika sekta hiyo na kilimo kwa ujumla nchini.
“Tunajipanga kuchochea ukuaji wa sekta hii ili kuwakwamua wakulima wa malimbichi kutoka kilimo cha kujikimu kwenda cha kibiashara ili kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini nchini,” anasema Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga.
Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA, Jacqueline Mkindi amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa wa ushirikiano kati ya TADB na TAHA kwa kuwa taasisi zote ni za Kilele (apex institutions) zenye kulenga katika kuleta mapinduzi ya kilimo Tanzania kutoka kilimo cha kujikimu kwenda katika kilimo cha kibiashara na uzalishaji wenye tija katika kukuza uchumi na kupunguza umaskini.
Hivyo makala Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture)
yaani makala yote Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kilimo-kwanza-tadb-taha-wapanga.html
0 Response to "Kilimo Kwanza : TADB, TAHA Wapanga Kusaidia sekta ya Mali mbichi na Matunda (Horticulture)"
Post a Comment