Loading...
title : KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI.
link : KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI.
KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akutana na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.
Katika mazungumzo yao, wamehimiza suala la kuboresha mahusiano baina ya Jamhuri ya Korea Kusini na Tanzania pamoja na kuzungumzia ushirikiano wa muda mrefu katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.
Hivyo makala KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI.
yaani makala yote KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kinana-akutana-na-balozi-wa-jamhuri-ya.html
0 Response to "KINANA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA KUSINI HAPA NCHINI."
Post a Comment