Loading...
title : Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
link : Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
Jemah Makamba
MKAZI wa Kivule, Dar es Salaam, Juma Hassan (40), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akituhumiwa kunajisi mtoto wa miaka 10.
Akisoma mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu John Msafiri, mwendesha mashitaka, Neema Mosha alidai mshitakiwa alitenda kosa hilo Machi 4 Kivule.
Baada ya kusomewa mashitaka hayo, alikana lakini akashindwa kukidhi masharti ya dhamana na kurudishwa rumande hadi Juni 3 kesi hiyo itakapotajwa.
Hivyo makala Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
yaani makala yote Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kizimbani-akidaiwa-kunajisi-mtoto.html
0 Response to "Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto"
Post a Comment