Loading...
title : KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO
link : KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO
KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO
Kumeendelea kukua kwa uhalifu mtandao maeneo mengi duniani – Huku baadhi wakitafsiri hili linatokana na wana usalama mtandao kuonekana kulemewa (Kuzidiwa) na wahalifu mtandao. Hili limepingwa katika kikao kilicho kamilika mwishoni mwa wiki iliyopita, Nchini Afrika kusini ambapo binafsi nilishiriki na kuzungumza na wenzangu kuhusiana na namna sahihi ya uchunguzi wa makosa ya kimtandao – Kubwa nililozungumzia ilikua ni kuwa rudisha wenzangu kwenye mstari kwa kuwakumbusha juu ya taratibu tulizojiwekea na zinazo takiwa kufatwa na mataifa yote duniani. Pamoja na mambo mengine, nilikumbusha umuhimu kuhakiki hatua zote za uchunguzi zinakua katika maandishi – Zaidi, nilicho zungumza pia kinaweza kupatikana katika Habari inayoweza kusomeka: BOFYA HAPA
Hivyo makala KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO
yaani makala yote KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kukua-kwa-uhalifu-mtandao.html
0 Response to "KUKUA KWA UHALIFU MTANDAO"
Post a Comment