Loading...

LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA

Loading...
LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA
link : LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA

soma pia


LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea leo Jumamosi Mei 6 na Jumapili Mei 7, mwaka huu kwa jumla ya michezo sita.

Kwa mujjibu wa ratiba, michezo ya Jumamosi kutakuwa na michezo mitano ilihali Jumapili kutakuwa na  mechi moja.

Michezo ya Jumamosi itakuwa ni kati ya Toto African na JKT Ruvu Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza  wakati Majimaji ya Songea itakuwa mwenyeji wa Mwadui kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma.

Kagera Sugar itaalikwa na Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini ulioko Mlandizi mkoani Pwani wakati Young Africans ya Dar es Salaam itaialika Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Siku hiyo ya Jumamosi Mei 6, mwaka huu Azam FC itaialika Mbao FC ya Mwanza kwenye Uwanja wa Azam Complex ulioko Mbagala, Dar es Salaam ilihali Jumapili kutakuwa na mchezo kati ya Simba SC na African Lyon kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Hivyo makala LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA

yaani makala yote LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ligi-kuu-ya-vodacom-bara-kuendelea-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA"

Post a Comment

Loading...