Loading...
title : MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017
link : MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017
MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017
Mkuu wa Shule ya St. Joseph Cathedral, Sista Theodora Faustine akimkabidhi zawadi na cheti, Prof. Rwekaza Mukandala ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya sita ya kidato cha sita, ili ampatie mhitimu. Mahafali hayo yalifanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. Rwekaza Mukandala ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya sita ya kidato cha sita ya Shule ya St. Joseph Cathedral, akizungumza na wahitimu (hawapo pichani). Mahafali hayo yalifanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Viranja wa darasa la PCM, Martin ….. na Nsobya Musona wakipokea zawadi ya keki kutoka kwaMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. Rwekaza Mukandala ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya sita ya kidato cha sita ya Shule ya St. Joseph Cathedral, yaliyofanyika Jumamosi, Mei 13,2017) shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Baadhi ya wazazi, walezi na ndugu walioshiriki mahafali ya sita ya kidato cha sita ya shule ya sekondari ya St. Joseph Cathedral yaliyofanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo.
(Picha na Irene Bwire)
Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Bibi Margreth Ikongo akitoa shukkrani mgeni rasmi, Prof. Rwekaza Mukandala pamoja na wazazi na walezi walioshiriki mahafali ya sita ya kidato cha sita ya shule ya sekondari ya St. Joseph Cathedral yaliyofanyika Jumamosi, Mei 13, 2017 shuleni hapo. (Picha na Irene Bwire)
Hivyo makala MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017
yaani makala yote MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mahafali-st-joseph-14052017.html
0 Response to "MAHAFALI ST. JOSEPH 14.05.2017"
Post a Comment