Loading...

MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI

Loading...
MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI
link : MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI

soma pia


MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI

Na Lydia Churi, Mahakama, Songea
Mahakama Kuu, Kanda ya Songea imefanikiwa kwa asilimia 100 kumaliza kesi zote zenye umri unaozidi miaka miwili Mahakamani.
Akitoa taarifa ya hali ya kesi katika Mahakama Kuu, Kanda ya Songea, Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo Mhe. David Mrango alisema hadi kufikia Desemba 2016, Kanda yake ilikuwa na kesi 28 za jinai.
Alifafanua kuwa kesi za jinai zilizofunguliwa kati ya Januari na Mei mwaka huu zilikuwa 51na zilizomalizika na kutolewa hukumu ni 52 na zilizobaki kesi 27.
Kwa upande wa kesi za madai , Jaji Mrango alisema mpaka Desemba 2016, kulikuuwa na kesi 46 za madai kwenye Kanda yake , jumla ya kesi za madai zilizofunguliwa kati ya Januari na Mei 2017ni 42 na zilizosikilizwa na kutolewa hukumu ni 47 wakati zilizobaki ni kesi 41.
Alisema kati ya Januari na Mei, vikao viwili vya kesi za mauaji vilifanyika ambapo kesi 22 zilisikilizwa na 18 zilitolewa hukumu huku 2 zikibaki.
Kuhusu upatikana wa nakala za hukumu, Jaji Mfawidhi huyo alisema licha ya changamoto zilizopo, Kanda yake imekuwa ikitoa nakala za hukumu pamoja na mienendo ya kesi kwa wakati.
Mahakama kuu, Kanda ya Songea ni moja ya Kanda za Mahakama Kuu 13 nchini, Kanda hii ina jumla ya Majaji wawili.
IMAGE


Hivyo makala MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI

yaani makala yote MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mahakama-kuu-kanda-ya-songea-na-kasi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA KUU, KANDA YA SONGEA NA KASI YA UONDOSHAJI MASHAURI"

Post a Comment

Loading...