Loading...

Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha

Loading...
Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha
link : Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha

soma pia


Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha









Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akifungua mkutano mkuu wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF uliofanyika leo jijini Arusha na kuhudhuriwa na wadau wa mfuko(Picha na Pamela Mollel)






Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiongea katika mkutano huo akimuakilisha mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,katika risala yake alisema kuwa anaipongeza mfuko huo kwa makubaliano waliofikia na UTT-MFI wa kutoa mikopo nafuu kwa wanachama wake wajasiriamali






Mkurugenzi mkuu wa mfuko huo Daud Msangi akizungumza katika mkutano huo wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF






Mwenyekiti wa bodi ya GEPF Joyce Shaidi akizungumza katika mkutano huo ambapo amesema kuwa kauli mbiu ya mkutano huo ni "Hifadhi ya jamii kwa wote inawezekana katika uchumi wa viwanda"kauli mbiu hii imewekwa maksudi na kumuunga mkono Rais katika kujenga uchumi wa viwanda






Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijajiakizindua mpango wa gharama nafuu utakao wahudumia watu wote waliojiunga na mfuko huo









Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akiteta jambo na Mkurugenzi mkuu wa mfuko huo Daud Msangi katika mkutano huo









Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mfuko huo wa GEPF jijini Arusha






Kulia ni mtendaji mkuu wa UTT James WAshima akizungumza katika mkutano huo pembeni ni Mkurugenzi mkuu wa GEPF Daud Msangi






Wadau katika mkutano wakifatilia mada mbalimbali










Mnufaika wa fao la elimu Joseph Mwashimaha akizungumza namna alivyonufaika na mfuko huo wa GEPF





Mtendaji mkuu Benki ya Posta Sabasaba Moshingi akitoa neno la shukrani katika mkutano huo








Hivyo makala Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha

yaani makala yote Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/maisha-naibu-waziri-wa-fedha-dk-ashatu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maisha : Naibu Waziri wa Fedha , Dk. Ashatu Kijaji Aipongeza Mfuko wa Jamii wa GEPF , Arusha"

Post a Comment

Loading...