Loading...

Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika.

Loading...
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika.
link : Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika.

soma pia


Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika.


 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Phili Mangula akikmkaribisha Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga. na katikati na Maofisa Waandamizi wa Taasisi hiyo.
 Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings akisaini kitabu cha wageni
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akizungumza na Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings
 Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings akimfafanulia jambo, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula wakati wa mazungumzo hayo
 Mazungumzo yakiendelea
 Mazungumzo yakiendelea
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara PhilipMangula akifafanua jambo
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akiteta jambo na Ofisa mipango mkazi wa NDI, Nahija Dodd wakati wa mazungumzo hayo 
 Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings akimfafanulia Mzee Mangula moja ya kazi za NDI
 Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings akimuaga Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula, baada ya mazungumzo yao.
 Wakifurahi baada ya mazungumzo
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara akimuaga Mahija
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara- Philip Mangula akiagana na Mkurugenzi Mkazi wa NDI Sandy Quimbaya baada ya mazungumzo
 Ugeni ukiondoka
 Ugenni ukiondoka
Mama Chintika akiuaga ugeni wakati ukiondo. Picha na Bashir Nkoromo


Hivyo makala Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika.

yaani makala yote Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-bara-mhe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mhe Philip Magula Akutana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika."

Post a Comment

Loading...