Loading...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan

Loading...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan
link : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan


Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejenga uwezo zaidi wa kukabiliana na vitendo vya rushwa katika azma yake ya kujenga uchumi imara utakaostawisha Taifa kwa kuongeza Mapato kupitia Sekta ya Utalii sambamba na Ujenzi wa Viwanda vipya vya kudumu. 
Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anayemuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa la Dunia la Uchumi { world Economy Forum } wakati akiwasilisha Muelekeo wa Tanzania katika uimarishaji wa Sekta ya Utalii hapo katika Ukumbi wa Mfamle Hassan Bin Talal pembezoni mwa Bahari Nyeusi Mjini Amma Nchini Jordan. 
Balozi Seif alisema zipo jitihada za ziada zilizochukuliwa katika ujenzi wa miundombinu ndani ya Sekta ya Utalii kutokana na Rasilmali nyingi zilizopo ikiwemo Mbuga za Wanyama, Ardhi yenye Rutba, Fukwe za kuvutia pamoja na Mlima wa Pili kwa urefu Duniani Kilimanjaro zilizoifanya Tanzania kujikita zaidi katika uimarishaji wa Seklta hiyo. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameuongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Tamasha la Uchumi la Dunia linalofanyika Mjini Amman Nchini Jordan akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. 



Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan"

Post a Comment

Loading...