Loading...
title : MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA
link : MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA
MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA
MwambawahabariMashindano ya mchezo wa Bao yaliyo dhaminiwa na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita , yame anza rasmi Leo katika Viwanja vya Mwembe yanga Temeke na yanatarajiwa kufikalele chake hapo kesho .
Kamera ya Mwambawahabari imeangazia maandalizi hayo muda huu ambapo Mstahiki Meya anatarajiwa kuzindua muda wowote kuanzia sasa , na Mshindi wa kwanza anatarajiwa kushinda 200,000, mshindi wa pili 100,000, na mshindi wa Pili 50,000. ambapo washiriki 60 wata onyeshana Umwamba katika Mchezo huo.
Hivyo makala MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA
yaani makala yote MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mashindano-ya-mchezo-wa-bao-ya-meya.html
0 Response to "MASHINDANO YA MCHEZO WA BAO YA MEYA WAJIJI , YAANZA MWEMBEYANGA"
Post a Comment