Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritha Kabati akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt Agustine Maige pamoja na Naibu wake Mhe. Susan Kolimba wakijiandaa kuwasilisha Bajeti ya Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_29.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017"
Post a Comment