Loading...

Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza

Loading...
Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza
link : Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza

soma pia


Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza





Makamu wa Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini, Jane Mihanji, akizungumza hii leo kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.




Kilele cha Maadhimisho hayo ni kesho Mei 03,2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.



Mkurugenzi Mkuu wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), Ernest Sungura, akiwasilisha mada hii leo kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.





Mtaalamu wa masuala ya teknolojia nchini, Innocent Mungy, akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.



Mwanasheria na Mwanataaluma ya Habari, James Marenga, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.



Mwenyekiti wa Makampuni ya Sahara Media Group, Dkt.Antonny Diallo, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.


Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini (Tanzania Bloggers Network TBN), Joachim Mushi, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.


Mwanataaluma ya habari nchini, Flora Magabe, akichangia mada kwenye Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, linalofanyika kitaifa Jijini Mwanza.



Mmoja wa wanataaluma ya habari nchini, akichangia mada kwenye kongamano hilo


Mwenyekiti wa Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Salome Kitomari, akifuatilia kwa umakini kongamano hilo.


Afisa Habari na Utafiti kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Gasirigwa Sengiyumva, akiwa kwenye kongamano hilo



Mkurugenzi wa UTPC, Abubakar Karsan (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Sahara Media Group, Dkt.Antonny Diallo (kulia), kwenye kongamano hilo.






Wanataaluma na wadau wa habari wakiwa kwenye kongamano hilo



Wanataaluma na wadau wa habari wakiwa kwenye kongamano hilo, ambapo kulia ni Mwenyekiti Mstaafu wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Simon Berege.



Afisa kutoka Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Hilda Kileo akiwa kwenye kongamano hilo.



Wanataaluma na wadau wa habari wakiwa kwenye kongamano hilo.

ANGALIA VIDEO


Fuatilia yaliyojiri kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, lililofanyika kitaifa Jijini Mwanza.

Kilele cha Maadhimisho hayo ni kesho Mei 03,2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.


#BMGhabari

Tazama hapa picha


Hivyo makala Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza

yaani makala yote Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/matukio-kongamano-la-siku-ya-uhuru-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Zafanyika Kitaifa, Mwanza"

Post a Comment

Loading...