Loading...

Mawaziri Wastaafu Wakutana

Loading...
Mawaziri Wastaafu Wakutana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mawaziri Wastaafu Wakutana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mawaziri Wastaafu Wakutana
link : Mawaziri Wastaafu Wakutana

soma pia


Mawaziri Wastaafu Wakutana

Leo Prof. Mark Mwandosya, aliyekuwa Kamisha, Katibu Mkuu, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi(Mazingira), Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Waziri wa Nchi(Ofisi ya Rais-Kazi Maalum) amemtembelea Mhe. Stephen Masato Wasira nyumbani kwake Mbweni, Dar es Salaam kumjulia hali na kubadilishana uzoefu. Mheshimiwa Wasira ni mmoja ya wanasiasa wa siku nyingi nchini. Amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa, Naibu Waziri, Waziri wa Wizara mbalimbali, akimalizia kama Waziri wa Nchi(Ofisi ya Rais) na hatimaye Waziri wa Kilimo.


Hivyo makala Mawaziri Wastaafu Wakutana

yaani makala yote Mawaziri Wastaafu Wakutana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mawaziri Wastaafu Wakutana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mawaziri-wastaafu-wakutana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mawaziri Wastaafu Wakutana"

Post a Comment

Loading...