Loading...

MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI

Loading...
MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI
link : MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI

soma pia


MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI

 Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Djibouti (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali  masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina pande mbili hizo ikiwemo Tanzaniz na Djbouti katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano mhe,Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) na Waziri wa Afya mhe mahmoud Thabit Kombo walipokuwakatika kikao cha pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Djiboutiambapo walizungumzia zaidi ushirikiano katika nyanja za kiuchumi walipokuwa katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mawaziri wa Serikali ya Djibouti wakizungumza naMawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali  masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina pande mbili hizo ikiwemo Tanzaniz na Djbouti katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. Picha na Ikulu.


Hivyo makala MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI

yaani makala yote MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mazungumzo-ya-baina-ya-mawaziri-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI"

Post a Comment

Loading...