Loading...
title : MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO
link : MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO
MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO
Meya wa jiji la Dar es salaam Isya Mwita aliye vaa kofia nyeupe akicheza Bao na mbunge wa Temeke Mhe. Abdallah Mtolea aliye vaa shati la maua, katika mchezo huo wa ufunguzi Mchezo ambapo Meya alishinda mchezo mmoja na miwili wakatoka suluhu.(picha na John Luhende).
Na John Luhende
mwambawahabari
Chama cha mchezo wa Bao Mkoa wa Dar es salaam , kimesema kinakabiliwa na changamo nyingi ikiwemo ukosefu wa ofisi na fedha za kuhudumia na kufanya usajili wa chama hicho .
Akizungumza mbele ya mgeni rasmi mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Dar es salaam , Kiraba Ngibombi .Amemwomba Mstahiki Meya katika mashindano yajayo kuwagharimia wachezaji angalau chakula na wa wachezaji hao.
Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita akizungumza katika ufunguzi huo amesema
Mchezo wa hao ni mzuri sana ila una dharaulika ,ameahidi kuwa saidia kufanya usajili wa chama chao ,amesema anatamani kuna mchezo huu una fahamika kama Michezo mingine.
Aidha ameahidi katika mashindano yajayo kugharimia nauli na chakula kwa wachezaji watakao shiriki mashindano hayo na kuwa himzi wachezaji hao kuuthamini mchezo huo.
Mbunge
Naye Mbunge wa Temeke Mheshimiwa Adallah Mtolea .Amemshukuru Meya kwa kuanzishia mashindano hayo wilayani Temeke, amesema nivema sasa wanatemeke wakaelekeza nguvu zao katika mchezo wa Bao kwa kuwa Michezo mingine kama soka haija fanikiwa sana.
Pamoja na hayo Meya wajiji na Mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea wamecheza Michezo mitatu ya ufunguzi ambapo Meya ameshinda mchezo mmoja na miwili wakatoka suluhu.
Hivyo makala MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO
yaani makala yote MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/meya-wa-jiji-la-dsm-afungua-mashindano.html
0 Response to "MEYA WA JIJI LA DSM AFUNGUA MASHINDANO YA MCHEZO"
Post a Comment