Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habarilink :
Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari
Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees Groenendijk (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Mfuko huo leo umekutana na baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi na kutoa semina juu ya mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees Groenendijk (kushoto) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Mfuko huo leo umekutana na baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi na kutoa semina juu ya mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii
Mwanasheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF. Wanatasnia hao wa habari wamepata fursa ya kujadiliana kwa pamoja na LSF namna vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia upatikanaji wa haki kwa ujumla kwa jamii.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) kwa na kuzungumzia mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii.
Hivyo makala Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari
yaani makala yote Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mfuko-wa-lsf-watoa-semina-kwa-wahariri_25.html
0 Response to "Mfuko wa LSF watoa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari"
Post a Comment