Loading...
title : Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
link : Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
Umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V watingisha jiji la Essen nchini Ujerumani baada ya kufanya mkutano mkuu kwa mujibu wa katiba ulioandamana na sherehe za ushindi wa viongozi wapya. Hapo jijini Essen katika ukumbi wa Bob's Cafe, watanzania zaidi ya 75 ambao wanaishi nchini humo walihudhuria mkutano huo ili kutimiza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wao, katika safu ya uongozi mpya Mhe Mfundo Peter Mfundo alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa umoja huo baada ya kukosa mpinzani. Makamo mwenyekiti mpya ni Mhe Salim Malumbo Jr. Katibu mkuu ni Julieth Myn, muweka Hazina ni Bi Nashe Mvungi, Mkaguzi wa mahesabu namba 1 ni Mhe Bi Jovither Mushashu, Mkaguzi wa mahesabu namba 2 ni mhe Bi. Lilian Sorogo. Mjumbe namba Moja ni Mhe Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja na Mjumbe namba 2 ni Mhe Vanessa Lymo. pamoja na mengi yalioongelewa kwenye mkutano huo azma ya umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V ni kuwaendeleza watanzaniawanaoishi hapa ujerumani na hata kuwaletea maendeleo watanzania wanaoisho Tanzania, umoja ni Nguvu na utengano ni Udhaifu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Wanaoishi Nchi Ujerumani Ndg Peter Mfundo akizungumza wakati wa mkutano huo mkuu wa Umoja wa Wanatanzania Ujerumani.anzania waishio Ujerumani wakifur ... o mkuu wao mjini Essen,Ujerumani
Watanzania wanaoishi Ujermani wakiwamo mkuu mjini Essen,Ujermani
Mambo ya mnuso mnuso wa vyakula vya kinyumbani
Mhe.Mfundo,mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani(UTU
Hivyo makala Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
yaani makala yote Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkutano-mkuu-wa-umoja-wa-watanzania.html
0 Response to "Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen"
Post a Comment