Loading...
title : Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN
link : Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN
Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN
MKUTANO WA WATANZANIA UJERUMANI,JUMAMOSI 13.05.2017 MJINI ESSEN
Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi, terehe 13.05.17 saa 13:00 Mchana katika Address ifuatayo
Bob's Cafe,
Altendorfer Straße 375
45143 Essen
Ili kufanikisha mkutano wetu tunawaomba watanzania kufika kwa wingi mno, mkutano huu ni muhimu sana kwani kuudhuria kwenu ndio mafanikio ya umoja wetu na mafanikio yako wewe mtanzania unayeishi hapa ujerumani . Umoja wa Tanzania Ujerumani ( UTUe.V) ‘’Ndio mwavuli na Sauti ya watanzania Ujerumani’’
Hivyo makala Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN
yaani makala yote Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkutano-wa-umoja-wa-watanzania.html
0 Response to "Mkutano wa Umoja wa Watanzania Ujerumani Jmumamosi 13.05.2017. ESSEN"
Post a Comment