Loading...
title : Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake
link : Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela (kati) akiwa nchini China akikagua mitambo na mashine zilizofungwa tayari kwa kusafirishwa kupelekwa mkoa Tanga kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda cha Cement kitakachogharimu Dola za Kimarekani 1.4 bilion kitakachozalisha tani milioni saba na kuajiri watanzania 4000. Ujenzi wa kianda hicho unatarajiwa kuanza mwezi ujao. Kushoto ni Ndg. Suleiman Serela, Mtanzania aliye masomoni nchini China akichukua PhD ya Sheria
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela (kati) akiwa na wenyeji wake nchini China akikagua mitambo na mashine zilizofungwa tayari kwa kusafirishwa kupelekwa mkoa Tanga kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda cha Cement
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela na Ndg. Suleiman Serela wakiwa nchini China wakioneshwa mfano wa kiwanda cha cement kitachojengwa mkoani Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela (kati) akiwa na mwenyeji wake nchini China akiendelea kukagua mitambo na mashine zilizofungwa tayari kwa kusafirishwa kupelekwa mkoa Tanga kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda cha Cement
Hivyo makala Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake
yaani makala yote Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-mkoa-wa-tanga-mhe-martine.html
0 Response to "Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha Cement kitachojengwa mkoani mwake"
Post a Comment