Loading...
title : MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO
link : MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO
MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO
Afisa Mipango wa Taasisi ya Friedrich Naumann, Veni Swai akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wasimamizi wa Mdahalo huo, Dorothy Kipeja akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Erick Kajahurwa akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili, ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Hivyo makala MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO
yaani makala yote MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mradi-wa-kuwa-mfano-wazinduliwa-jijini.html
0 Response to "MRADI WA KUWA MFANO WAZINDULIWA JIJINI DAR, WANAFUNZI KUKUTANA KWA MIDAHALO"
Post a Comment