Loading...
title : MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED
link : MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED
MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED
MwambawahabariSingida United imedhamiria kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini baada ya klabu hiyo kuendelea kujiimarisha zaidi kwenye usajili wa wachezaji.
Mshambuliaji huyo anaetambulika kwa jina la Nhivi Simbarashe anakuwa mchezaji wa tano kusajili ndani ya klabu hiyo itakayoongozwa na kocha mahili Hans van Der Pluijm na msaidizi wake Fredrick Minziro.
Simbarashe pia ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zimbabwe amekuwa na mafanikio makubwa kwenye timu alizochezea ikiwemo kufunga goli pekee ambalo liliwaondosha TP Mazembe katika ushiriki wa michuano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika wakati akiitumikia timu ya Mamelod Sondowns.
Uongozi wa Singida United umethibitisha kumpa kandarasi ya miaka miwili mchezaji huyo akitokea klabu ya Caps United ya nchini Zimbabwe ambapo baada ya kutokea Afrika Kusini alijiunga na timu hiyo ya nchini kwake.
Hivyo makala MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED
yaani makala yote MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mshambuliaji-wa-mamelod-sundowns-atua.html
0 Response to "MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED"
Post a Comment