Loading...

MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR

Loading...
MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR
link : MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR

soma pia


MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR

 Kushoto ni Liban Newa mchezaji wa Golf kutoka Durham, North Carolina akikabidhi vifaa vya mchezo wa golf kwa watoto katika viwanja vya mchezo huo Lugalo jijini Dar ikiwa kama sehemu ya uzinduzi wa Charles Newa Golf Academy itakayo saidi katika muendeleza vipaji vya watoto wanaopenda mchezo huo. Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na fimbo, mipira, gloves vikiwemo vifaa vingine. Anayepokea vifaa hiyo ni Japhet Masai timu kapteni wa Lugalo golf Club na mwalimu wa watoto hao.
 Liban Newa (kulia) akikabidhi moja ya vifaa vya mchezo wa golf katika viwanja vya Lugalo jijini Dar ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Charles Newa Golf Academy. Anayepokea msaada huo ni Juma Likuli ambaye ni mwalimu msaidizi wa watoto hao.
 Watoto wapenda mchezo huo waliojitokeza kwenye makabidhiano ya vifaa vya mchezo wa golf wakiwa katika picha ya pamoja.
Watoto wakipata mapochopocho mara baada ya makabidhiano hayo.


Hivyo makala MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR

yaani makala yote MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mtanzania-kutoka-north-carolina-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF ACADEMY ATOA MSAADA WA VIFAA VYA GOLF KWA WATOTO LUGALO, JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...