Loading...

Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar.

Loading...
Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar.
link : Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar.

soma pia


Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar.

Wananchi wakiwa upande wa pili wa barabara ya kwenda mwanakwerekwe wakiangalia jinsi mvua za masika zinavyonyesha na kujaa katika bwawa la mwanakwerekwe na maji hayo kuzuiya kupitika kwa barabara hiyo kutokana na kujaa maji na kutapakaa magugu maji.
Hii ndio barabara ya mwanakwerekwe ikiwa imefunikwa na maji ya mvua ilinyesha siku ya jumanne kutwa na kusababisha kuzuiya kutumika kwa barabara hii kutokana na kufurika maji katika barabara hiyo na maji ya magugu maji kutanda katika barabara hiyo kama inavyoonekana pichani.






Hivyo makala Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar.

yaani makala yote Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mvua-za-masika-zinazoendelea-kunyesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mvua za Masika Zinazoendelea Kunyesha Kisiwani Zanzibar."

Post a Comment

Loading...