Loading...
title :
link :
MVUA zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba, zimeweza kusimamisha
huduma ya usafiri katika barabara ya Chake Mkoani, kwenye eneo la
Changaweni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini pemba hali iliyopelekea
barabara hiyo kufungw akwa usalama wa waendesha vyombo vya moto na
wapita njia, huku wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
ikitengeneza barabara ya dharura.(Picha na Mwandishi Wetu, PEMBA)
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mvua-zinazoendelea-kunyesha-kisiwani.html
0 Response to " "
Post a Comment