Loading...
title : MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO
link : MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO
Hali ya barabara kuanzia Kasiga hadi Mombo ni mbaya askari wamezuia magari kwa muda kutokana na barabara kujaa maji na matope kujaa barabarani
Wakati huo huo, Huko lushoto napo watu kadhaa pamoja na magari 11 11 yameharibiwa vibaya baada ya kuangukiwa na mti mkubwa. Magari hayo yalikuwa yamepaki barabarani kupitisha maji mengi yaliyokuwa yanakatiza katika barabara hiyo ya Lushoto
Hivyo makala MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO
yaani makala yote MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mvua-zinazoendelea-kunyesha-nchini.html
0 Response to "MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MOMBO NA KUJERUHI WATU LUSHOTO"
Post a Comment