Loading...
title : Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi
link : Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi
Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi
Profesa Honest Prosper Ngowi akiwaelekeza baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuhusu utafiti unaoangazia masuala ya kodi. Kulia ni Profesa Arne Wiig akitoa maelekezo kwa mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho. Utafiti huo unafanywa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Christian Michelsen Institute (CMI) ya Norway na Chuo Kikuu Mzumbe cha nchini Tanzania.
Wanafunzi wa Mzumbe Dar Es Salaam wakifanya shughuli za utafiti kwa vitendo katika mradi wa utafiti wa mambo ya kodi. Mradi huu ni ushirikiano kati ya taasisi ya Christian Michelsen Institute (CMI) ya Norway na Chuo Kikuu Mzumbe.
Unafadhiliwa na Baraza la Utafiti la serikali ya Norway na upo katika mwaka wa mwisho katika miaka yake mitatu. Professor Ngowi wa Mzumbe ni mtafiti mkuu katika mradi huu Tanzania. Watafiti kutoka Norway waliokuwepo Mzumbe ni Prof. Odd Fjeldstad na Prof. Arne Wiig.
Katika utafiti huu wanafunzi walijibu maswali mbalimbali yahusuyo kodi. Matokeo yake yatatumika kushauri mamlaka kuhusu mambo kadhaa ya kodi Tanzania. Utafiti wa aina hii unafanyika pia Angola na Zambia.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakiendelea na utafiti huo jijini Dar es Salaam jana.
Wanafunzi wengine wakijadiliana jambo katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ambako utafiti huo unaendelea leo.
Hivyo makala Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi
yaani makala yote Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mzumbe-norway-waendesha-utafiti-kuhusu.html
0 Response to "Mzumbe, Norway Waendesha Utafiti Kuhusu Masuala ya Kodi"
Post a Comment