Loading...

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao

Loading...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao
link : Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao

soma pia


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mbodi, akizungumza na mwakilishi wa Jimbo la Ole, Mhe:Mussa Ali Mussa mara baada ya kumaliza kazi ya kukaguwa Tawi la CCM la Ole, katika ziara yake ya
kuangalia shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 SHAMBA la Migomba la wanaushirika wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake,lenye urefu wa Ekari 3 lililochini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa jimbo la Ole.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MWAKILISHI wa Jimbo la Ole Mhe:Mussa Ali Mussa, akimuonyesha mipaka ya shaba la Migomba la Vijana wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na wananchi wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake Pemba, mara baada ya kutembelea shaba la wakulima hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akiangalia utokaji wa maji katika moja ya mifereji iliyomo katika shamba la Migomba la Vijana wa Vikunguni Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akikagua shamba la Migomba lenye ukubwa wa ekari 3, lililoko Vikunguni Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MSEMAJI wa Kikundi cha Vijana wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake, Azaaa Januari Joseph  akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mhe:Abdalla Juma Mabodi wakati alipotembelea shamba hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akipanda mti wa Mgomba katika shamba la Vijana wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao

yaani makala yote Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/naibu-katibu-mkuu-wa-ccm-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao"

Post a Comment

Loading...