Loading...

NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

Loading...
NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
link : NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

soma pia


NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

Mwambawahabari
SAC1
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, wakiongozwa na Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto), Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt. Alain Damiba (katikati) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
SAC2
SAC3
SAC4
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto) akizungumza jambo wakati ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, lilipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt. Alain Damiba
SAC5
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (wa tatu kulia) akizungumza jambo pale ugeni kutoka  Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

yaani makala yote NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/naibu-spika-wa-bunge-atembelewa-na_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO"

Post a Comment

Loading...