Loading...
title : NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI
link : NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI
NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha.
Kamanda Lyanga amesema mauaji hayo yamefanyika usiku wa kuamkia leo (Jumapili) katika Kijiji cha Nyambunda. Amesema Mtulia aliuawa na watu hao alipokuwa anakwenda kuoga.
Kamanda amesema mwili wa marehemu umepelekwa kituo cha afya cha Kibiti kwa uchunguzi.
Mauaji ya askari Polisi, viongozi wa Serikali za Mitaa na raia yamekuwa yakifanyika mara kwa mara katika wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani Pwani.
Jumanne wiki hii akiwasilisha bungeni bajeti ya wizara yake,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba aliliambia Bunge kuwa Serikali itaanzisha mkoa mpya wa kipolisi katika wilaya za Kibiti, Rufiji, Mkuranga na Mafia ili kuimarisha ulinzi.
Hivyo makala NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI
yaani makala yote NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/news-alert-katibi-wa-ccm-kata-ya-bungu.html
0 Response to "NEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI"
Post a Comment