Loading...

NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO

Loading...
NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO
link : NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO

soma pia


NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO

 Treni ya abiria iliyokuwa ikitokea jijini Dar es salaam kwenda Mikoa ya Tabora, Mwanza na Kigoma, imepata ajali usiku wa kuamkia leo katika eneo la stesheni ya Mazimbu Mkoani Morogoro.

Kwa mujimu wa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Reli Tanzani, Midladjy Maez amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tano usiku baada ya Mabehewa matatu kuacha njia na mengine manne kuegama na kusababisha abiria mmoja alietambulika kwa jina la Ashura Mrisho aliyekuwa akitokea Ngerengere kwenda Tabora kujeruhiwa na baada ya kuangukiwa na mizigo. 
Mabehewa 13 yamerejeshwa Morogoro ili kufanyika utaratibu wa kuwapangia usafiri mbadala abiria wa treni hiyo. Taarifa zaidi zitafuata wakati Uongozi wa TRL, Wahandisi na Mafundi wa reli wakishughulikia ajali hiyo.


Hivyo makala NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO

yaani makala yote NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/news-alert-treni-ya-abiria-iliyokuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU MOROGORO"

Post a Comment

Loading...