Loading...
title : PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA
link : PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA
PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aizungumza na wabunge, Kange Lugora wa Mwibara (kushoto) na Katani Ahmed Katani wa Tandahimba (katikati) kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10,2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mwanne Mchemba (kushoto) na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Salum Mwalimu kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Mussa Ntimizi wa Igalula na Felista Bura wa Viti Maalum, bugeni mjini Dodoma Mei 10, 2017.
7 Attachments
Hivyo makala PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA
yaani makala yote PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/picha-za-waziri-mkuu-kasim-majaliwa.html
0 Response to "PICHA ZA WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA"
Post a Comment