Loading...

PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI

Loading...
PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI
link : PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI

soma pia


PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI

Mtayarishaji wa muziki nchini,  Sheddy Clever ameitaka serikali iweke sheria na viwango vya kudhibiti watayarishaji wa muziki feki ambao ni chanzo cha kusababisha nyimbo kutodumu mda mrefu katika tasnia hali inayopelekea kushuka kwa muziki bongo.

Sheddy amedai serikali inapaswa pia kusimama na kuangalia maslahi ya watayarishaji wa muziki kwani wamekuwa wakiwatajirisha wasanii huku wao wakibaki kwenye maisha yale yale.
“Maprodyuza feki ni wengi sana wale waliopo real ni wachache sana. Zamani kina P -Funk walikuwa wanatengeneza nyimbo zinadumu muda mrefu na ni kali lakini za sasa hivi imebidi ma director wa video wawe wabunifu kutengeneza video kali ili wimbo uonekane ni mzuri,” amesema Sheddy 
Ameongeza kuwa  kwa upande wa maslahi inabidi serikali ijipange ituwekee maslahi mazuri kwani mtayarishaji wa muziki kama anahitaji maisha mazuri itambidi awe ana kazi nyingine na siyo kutegemea production tu. Unaweza ukawa na hit kibao redioni lakini maisha yako yakawa ya tabu sana,”
Mtayarishaji huyo mwenye uwezo wa hali ya juu  ameshatengeneza hit nyingi  za msani maharufu nchini Naseeb Abdul "DIAMOND "ikiwemo ‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo.

 




Hivyo makala PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI

yaani makala yote PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/producer-wa-diamond-aomba-msaada-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI"

Post a Comment

Loading...