Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO
link : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO
Mwambawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017.
Baadhi ya Mawaziri, pamoja na Wajumbe, wakimsikililiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-dkt-magufuli-aongoza-mkutano-wa_6.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA NCHINI, IKULU JIJINI DAR LEO"
Post a Comment