Loading...

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA
link : RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

 Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha  Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini)  Mhe. Munde tambwe (viti maalumu - Mkoa wa Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) kupokea magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe Lucy Mayenga baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Munde baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu  Bw. Charles Mwankupili (kulia) na  Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi Kaskazini)  Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu)  baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.


PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-dkt-magufuli-atoa-msaada-wa-magari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA"

Post a Comment

Loading...